Famasia 300+ zinatumia

Pumzika.
Pharmacy inajiendesha.

Kote Business ni mfumo wa kisasa wa kuendesha pharmacy yako: stock, mauzo, expiry na hesabu, yote mkononi mwako.

Au jaribu demo bila kujisajili
Nembo ya famasia inayotumia Kote BusinessNembo ya famasia inayotumia Kote BusinessNembo ya famasia inayotumia Kote BusinessNembo ya famasia inayotumia Kote BusinessNembo ya famasia inayotumia Kote Business
300+ famasia Tanzania nzima
Kote Business
Hai
Mauzo Leo
Tsh 1,240,500
+12%
Bidhaa
1,847
32 zinaisha
Madeni
Tsh 485,200
+4%
Mauzo — Siku 14
7D14D30D
Mauzo Hivi Punde
Paracetamol Tabs
Tsh 12,000
Amoxicillin Caps
Tsh 18,400
Vitamin C 500mg
Tsh 14,000
ORS Sachets
Tsh 9,600
Kote Business mobile
Tanzania nzima · Mikoa 25+

Inatumiwa na zaidi ya
300 famasia nchini Tanzania.

Kutoka Dar es Salaam, Mwanza na Arusha hadi Mtwara, Kote Business inawasaidia wamiliki wa famasia kuendesha biashara zao kwa ufanisi. Weka kipanya juu ya mkoa wowote uone.

0+
Famasia
0+
Mauzo yamerekodiwa
0+
Dawa zilizouzwa
Tsh 0M+
Thamani ya mauzo
0+
Dawa zinasimamiwa

Dots zinaonyesha mikoa tunakohudumia kote Tanzania.

Vipengele

Kila kitu unachohitaji,
mahali pamoja.

Kote Business inakupa zana zote za kuendesha biashara yako ya dawa kwa ufanisi, kutoka stoo hadi malipo.

Bidhaa

Simamia stoo, batches na tarehe za kuisha. Tahadhari ya stoo ya chini moja kwa moja.

Mauzo

POS ya haraka ya kuuza kwa skani au kwa mkono, chapisha risiti, fanya marejesho.

Madeni

Fuatilia madeni ya wateja, tuma vikumbusho vya SMS, na pokea malipo mtandaoni.

Sokoni

Agiza dawa kutoka kwa wasambazaji. Linganisha bei, fuatilia oda na pokea bidhaa.

Malipo ya Selcom

Pokea malipo ya M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na kadi, yote kupitia Selcom.

Muhtasari wa AI

Ripoti ya kila siku iliyoandaliwa na AI — mauzo, faida, dawa zinazoisha na zaidi.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua tatu, dakika tatu.

01

Sajili

Fungua akaunti kwa dakika moja kwa nambari yako ya simu. Hakuna kadi ya benki inayohitajika.

02

Ongeza dawa

Ingiza stoo yako kwa skana, CSV, au kutoka katalogi yetu ya zaidi ya dawa 5,000.

03

Anza kuuza

Tumia POS, fuatilia madeni, pokea malipo, na ona ripoti popote ulipo.

Watumiaji

Kila mtu na nafasi yake.

Toa ruhusa sahihi kwa kila mfanyakazi. Fuatilia kila kinachofanyika kwa usalama kamili.

Mmiliki

Mtu mkuu wa biashara

WafanyakaziRipotiBeiMipangilioStooMauzoMadeni

Msimamizi

Anasimamia shughuli za kila siku

StooMauzoMadeniWatejaRipoti

Mfamasia

Anauza na kushauri wateja

StooMauzoMadeniWateja

Muuzaji

Anarekodi mauzo yake tu

Mauzo yangu
Bei

Bei nyepesi, faida kubwa.

Chagua kifurushi unachofaa. Badilisha kipindi cha malipo cha kila kifurushi: 1 / 3 / 6 / 12 mwezi.

Hobby
Tsh 15,000/ mwezi 1

Kwa famasia ndogo & ADDO

  • Famasia 1, watumiaji 2
  • Dawa 500, batches & expiry alerts
  • Mauzo & wateja
  • Ripoti za msingi (PDF/XLSX)
  • POS na rasiti
Anza na Hobby
Premium
Tsh 29,000/ mwezi 1

Kwa famasia zinazokua

  • Vyote vya Hobby
  • Watumiaji 3
  • Dawa bila kikomo
  • Sokoni — Tengeneza Orda ya Manunuzi (PDF kwa wasambazaji)
  • Madeni & malipo ya mkopo
  • Arifa za WhatsApp + SMS
Anza na Premium
Maarufu
Professional
Tsh 49,000/ mwezi 1

Kwa famasia za juu

  • Vyote vya Premium
  • Matawi 3, watumiaji 7
  • AI Digest ya kila siku
  • Wasambazaji & stock receipts
  • Ripoti za matumizi & faida
  • Push notifications kwenye simu
Anza na Professional
Enterprise
Tsh 99,000/ mwezi 1

Kwa minyororo ya famasia

  • Vyote vya Professional
  • Matawi & watumiaji bila kikomo
  • AI demand forecasting
  • Wholesale + retail pricing
  • Ripoti maalum & data export
  • Msaada wa VIP (dedicated WhatsApp line)
Anza na Enterprise
Kote Business app icon

Pakua sasa.

Kote Business inapatikana kwenye iPhone na Android. Pakua bure leo, anza ndani ya dakika moja.

Pakua bure
Kote Business

iPhone, Android, na kompyuta: kiungo kimoja, kinachojua kifaa chako

Au tembelea console.kote.business kutoka kompyuta yako, au jaribu demo bila kujisajili.